Barua ya upendo wa Baba

Mtoto wangu ..

Yawezekana yakuwa hunijui lakini najua kila kitu juu yako...Psalm 139:1
Najua kukaa kwako na kuondoka...Psalm 139: 1
Nazifahamu njia zko zote... Psalms 139:3
Hata nywele juu za kichwa chako najua hesabu yake... Matthew 10:29-31
Kwa sababu uliumbwa kwa mfano wangu... Genesis 1:27
Ndani unaishi na kutembea...Acts 17: 28
Kwa sababu wewe ni lipuko langu... Acts 17:28-1
Nakujua kabla ya kuudwa... Jeremiah 1:4-5
Nalikuchgua wewe nilipopanga kuumba ulimwemgu... Ephesians 1: 11-12
Hakuna makosa kwa sababu hata siku zako zimeandikwa katika kitabu changu...Psalms 139:15-16
Niliona chauku juu ya kuzaliwa kwako na mahali utakaa... Acts 17: 26
Wewe ni wa kuogofyia na uliumbwa kwa ajabu... Psalms 139:14
Nalikuunda pamoja katika tumbo la mamako... Psalms 139:13
Nikakuleta siku uliyozaliwa... Psalms 71:6
Nimekosa kujulikana na kuwakilishwa nao wasio nijua...John 8:41-44
Sijakasirika lakini nimekamilika katika upendo...1 John 4: 16
Na ni mapenzi yangu kukuonyesha upendo wangu kwako... 1 John 3:1
Hii ni kwa sababu wewe ni mwanangu na mimi ni babako... 1 John 3:1
Nimekupa mambo ambayo babako wa duniani hawezi kukupatia... Matthew 7:11
Kwa sababu mimi ni baba mkamilifu...Matthew 5:48
Kila kipawa kizuri hutoka mikononi mwangu... James 1:17
Kwa sababu mimi nakupa mahitaji yako yote...Matthew 6:31-33
Mipango yangu kwa ajili yako ni kwa sababu nakupenda na upendo wa milele...Jeremiah 31:3
Mawazo yangu kwako haiwezi kuhesabika ni kama mchanga wa baharini...Psalms 139:17-18
Najifurahisha na vipaji vyako... Zephaniah :3:17
Sitaacha kukufanyia mazuri... Jeremiah 32:40
Kwa sababu wewe ni akibe yangu...Exodus 19:5
Napenda kukutangaza kwa moyo wangu na nia yangu...Jeremiah 32:40
Napenda kukuonyesha mambo makuu usiyoyajua... Jeremiah 33:3
Uknitafuta na moyo wako wote utanipata...Deuteronomy 4:29
Nitegemee mimi nami ntakupa mahitaji ya moyo wako...Psalms 37:4
Kwa sababu ni mimi huwapa watu mahitaji ya moyo yao...Psalms 37:4
Maana ni mimi ninayekupa hayo mahitaji yako... Psalms 2:13
Ninao uwezo wa kukupa zaidi kuliko vile unavyo weza...Ephesians 3:20
Kwa sababu mimi ndiye ninakupa nguvu...2 Thessalonians 2:16-17
Tena mimi ndiye ninayewapa wanaohitaji mahitaji yao...Psalms 2:13
Ninao uwezo wa kukufanyia makuu kuliko unaofikilia...Ephesians 3:20
Kwa sababu mimi ndiyo ninayekupa nguvu... 2 Thessalonians 2:16-17
Tena mimi ni baba anayekufariji wakati wa shida yako...2 Corinthians 1:3-4
Wakati moyo wako umevunjika niko karibu kukufariji... Psalm 34:18
Kama mchungaji anavyo mchukua mwana kondoo nimekuchukua ndani ya moyo wangu... Isaiah 40:1
Nitayapanguza machozi ndani ya macho yako... Revelation 21:3-4
Na maumivu yako nitayaondoa uliyoyapata hapa duniani...Revelation 21:3-4
Mimi ni babako na nakupenda kama nimpendvyo mwanangu yesu kristu... John 17:23
Kwa sababu ndani ya yesu upendo wangu huonekana...John 17:26
Yeye huniwakilisha kuweko kwangu...Hebrews 1:3
Alikuja kuonyesha kuwa mimi niko nawe si kinyume chako...Romans 8:31
Yesu alikufa ili mimi na wewe tuunganishwe na mungu... 2 Corinthians 5:18-19
Kifo chake kilionyesha upendo wake kwako... 1 John 4:10
Nilitoa yote na nikakupenda ili nawe upate sehemu ya upendo wako... 1 John 1:23
Hakuna chochote kinachoweza kututenganisha na upendo wangu... Romans 8:38-39
Karibu nyumbani nitaandaa karamu ambayo haijaonekana huku mbinguni... Luke 15:7
Nimekuwa baba yako na nitaendelea kuwa baba yako milele...Ephesians 3:14-15
Swali langu kwako, je unaweza kukubali kuwa mwanangu?... John 1:12-13
Nakungojea wewe leo...Luke 15:11-32
Nakupenda huyu ni babako wa mbinguni Mungu

 

 

Permission To Copy:
Please feel free to copy this text and share it with your friends as long as you do so free of charge and you include the following copyright information...
"Father's Love Letter Compiled by Barry Adams Copyright 1999
Visit The Interactive Website at www.FathersLoveLetter.com"